Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nimejiunga na Bayern kuchukua UEFA

Harry Kane Byern Leo Nimejiunga na Bayern kuchukua UEFA

Thu, 17 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji mpya wa Bayern Munchen Harry Kane amesema amejiunga na Klabu hiyo kwa sababu anaona kuna ukaribu zaidi wa kushinda UEFA tofauti na vile ilivyokuwa awali.

“Nimejiunga na klabu hii ili kuwa na nafasi nzuri ya kushinda Ligi ya Mabingwa," amesema Harry Kane.

Mshambuliaji huyo wa England na nahodha wa timu ya Taifa hilo, amejiunga na Bayern hivi karibuni kwa dau la pauni milioni 100.

Itamchukua miaka mingapi kufikia ndoto yake hii akiwa na Bayern ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: