Klabu ya Yanga si kwamba imefuzu tu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, bali imeongoza katika vitu vingi kwenye michuano ya CAFCC mwaka huu.
Yanga ambayo jana imetinga nusu fainali baada ya kuiondoa Rivers United, imeandika rekodi ya aina yake katika michuano hiyo mpaka sasa.
Yanga imekuwa timu ya kwanza Tanzania kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika tangu lianzishwe mwaka 2004.
Timu zenye clean sheets nyingi mpaka sasa. 05 - Young Africans 05 - ASEC Mimosas 04 - US Monastir
Michezo (5) ya mwisho (CAF) Yanga 2 - 0 Bamako Yanga 2 - 0 US Monastir Yanga 1 - 0 TP Mazembe - (A) Yanga 2 - 0 Rivers - (A) Yanga 0 - 0 Rivers
Timu zilizofanya vizuri zaidi kwenye mechi (5) za mwisho CAFCC.
1. Ushindi 4, sare 1, kupoteza 0, tofauti ya mabao +7, alama 13 - Yanga Sc 2. Ushindi 4, sare 1, kupoteza 0, tofauti ya mabao +6, alama 13 - ASEC Mimosas 3. Ushindi 3, sare 1, kupoteza 1, tofauti ya mabao +9, alama 10 - USM Alger
Magolikipa wenye cleansheets nyingi! 05 - Ayayi Charles 04 - Djigui Diarra
Vinara wa magoli! ⚽ 05 - Fiston Mayele ⚽ 05 - Chivaviro
The return of champions.