Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

YouTube channel ya Alikiba yarejeshwa baada ya kudukuliwa

Alikiba Hnnnn YouTube channel ya Alikiba yarejeshwa baada ya kudukuliwa

Fri, 23 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya video kuondolewa kwenye akaunti YouTube channel ya Alikiba kwa muda wa saa moja, tayari video zote zimerejeshwa kwenye channel hiyo na kurejeshwa umiliki wa jina la Alikiba baada ya jina kubadilishwa pia na kuitwa TESLA INC.

Mbali ya video hizo kurudsihwa bado kuna video moja ambayo sio ya Alikiba inaonyesha ikitumiwa na ile akaunti ya mwanzo ambayo ilirusha live kupitia akaunti Alikiba huku maudhui yakiwa ni tofauti.

Akaunti ya YouTube ya Alikiba ilionekana kudukuliwa juzi na TESLA ambao pia waliwahi kudukua YutUbe channel nyingi Bongo ikiwemo ya Diamond.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: