Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Niffer apigwa stop kwa mtoto wa Kiba

Kiba Esrd WA0000 Niffer apigwa stop kwa mtoto wa Kiba

Sat, 24 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya mwadada Niffer kupiga picha na video SnapChat akifurahia stori mbili tatu na mtoto wa Alikiba aitwaye Kiba Junior, jambo hilo limemuibua mama wa mtoto huyo ambaye amemuonya Niffer kwa kitendo hicho.

"Binti mbona una moto sana? Yani fanya vyote ila shobo zako na mtoto wangu acha kabisa, sikujui wala hunijui so wewe dili na uyu mchat wako shobo na mtoto wangu acha mixxxx as who to him? Mke wa kiba au? Huyo mkewe wa ndoa hajawai mpost wewe nani?

"Hebu punguza speed kwanza? Kuna wenzio walikuja kama wewe saizi wamejituliza so chill binti. Yani unaenda kumpost mtoto wangu kama nani? Fans wake au shobo dundo tu?

"Mke wake tu ajawai ata kwa bahati mbaya kumpost ila wewe binti mwenye shobo chafu. Alikiba pls, tell them to stay far na kijana wangu, unanijua vizuri sipendi hizi mambo wa deal na wewe kivingine broo, kiki za kijinga jinga sitaki na ndio maana siongeagi chochote kile busy na mikumbalala yangu," amesema Mama Kiba Jr.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: