Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiba: Kilimo cha WhatsApp ni shinda ingine

KIBAAA Kiba

Thu, 16 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa muziki hapa nchini Alalikiba ameendelea kuonyesha dhamira yake ya kuwaelezea wadau mbalimbali faida na changamoto za kilimo.

Kupitia mtandao wake wa Twitter Alikiba amewataka watu kuachana na kilimo cha mitandao (WhatsApp) na badala yake kuhakikisha wanafika mashambani ili kujionea hali halisi.

“Nilileta staili za ufanyaji wa muziki kwenye kilimo mwanzoni, niliisoma namba. Kilimo cha ‘Whatsapp’ ni shida.”

Hivi karibuni nyota huyo wa muziki aliweka wazi kuwa kwa muda sasa amekuwa akijihusisha na shughuli za kilimo na akaahidi kutoa somo kuhusu vitu alivyojifunza kwenye kilimo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: