Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond aandika rekodi nyingine Boomplay

WhatsApp Image Diamond.jpeg Diamond aandika rekodi nyingine Boomplay

Tue, 21 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ameweka rekodi mpya na kuzidi kuiheshimisha tasnia ya Muziki wa Tanzania baada ya kuwa Msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kufikisha idadi ya Wasikilizaji (streams) zaidi ya milioni 400 kwenye mtandao wa Boomplay.

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ameweka rekodi mpya na kuzidi kuiheshimisha tasnia ya Muziki wa Tanzania baada ya kuwa Msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kufikisha idadi ya Wasikilizaji (streams) zaidi ya milioni 400 kwenye mtandao wa Boomplay. Diamond amekuwa akiweka rekodi marakadhaa kwenye mitandao mbalimbali kama YouTube, Spotify na mara hii ameongeza huko Boomplay.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: