Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cheed: Kiba ni kama baba yangu

Faf02 Cheed Cheed: Kiba ni kama baba yangu

Mon, 3 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Cheed kupitia Mahojiano aliyofanya Cloudsfm Kwenye Kipindi cha XXL amefunguka mengi kuhusu Record Label yake ya zamani ambayo Kondegang,Lakini pia moja ya swali alilo ulizwa na Mtangazaji Kwenye Kipindi hicho ni kuhusu Alikiba

Msanii Cheed alifunguka na kusema kuwa; "Alikiba kwangu ni kama baba yangu,ni Brother aliekuwa na Mapenzi makubwa kwangu na hakuwai kuficha hisia zake kwangu, amenisaidia sana, Siwezi kuwa mchoyo wa fadhira kwa namna alivyo nisaidia, atabaki moyoni Mwangu

Pia, Msanii Cheed ameweka wazi kuwa kwa Sasa hayupo tayari kusimamiwa na Record Label yoyote,Lakini yupo tayari kufanya nao kazi tuu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: