Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yazindua jezi mpya za msimu wa 2024/25

Simba Jezi 22 Simba yazindua jezi mpya za msimu wa 2024/25

Wed, 24 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa klabu ya Simba SC chini ya Mwenyeketi wa klabu Murtaza Mangungu wametambulisha Jezi mpya leo Julai 24, 2024 za msimu wa 2024/25 katika Mbuga ya Mikumi, Mkoani Morogoro.

https://cdn.tanzaniaweb.live/imagelib/pics/489/48942318.jpg">

Simba SC wametambulisha jezi za aina tatu nyumbani nyekundu, ugenini nyeupe na blue ni jezi mbadala (Third Kit).



Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: