Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais amteua Ramadhan Kingai kuwa DCI

Kingaipic Data Ramadhan Kingai

Wed, 20 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Ramadhan Kingai kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).

Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Ramadhan Kingai kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI). Julai 15 mwaka huu, taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime ilisema kuwa Kingai amehamishwa kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma akitokea Mkoa wa Kinondoni.   Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatano Julai 20, 2022 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus imeeleza kuwa Kingai anachukua nafasi ya Wambura ambaye ameteuliwa kuwa IGP.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: