Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia kuanza ziara Mwanza

Samia Road.jpeg Rais Samia Suluhu Hassan

Sun, 11 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuanza ziara ya kikazi, mkoani Mwanza, kesho Juni 12, 2023, hadi Juni 15, 2023, ambapo atatembelea na kukagua miradi mbalimbali likiwemo daraja la Kigongo-Busisi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuanza ziara ya kikazi, mkoani Mwanza, kesho Juni 12, 2023, hadi Juni 15, 2023, ambapo atatembelea na kukagua miradi mbalimbali likiwemo daraja la Kigongo-Busisi. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Bw.Amos Makalla ambapo pia amesema, Rais Samia atahudhuria Tamasha la Utamaduni linalojulikana kama Bulabo, litakalofanyika katika eneo la Makumbusho la Bujora.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: