Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia awateua Lukuvi na Bulembo

Lukuvi Pic Data.jpeg William Lukuvi

Tue, 13 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Isimani Iringa William Vangimembe Lukuvi kuwa Mshauri wa Rais (Siasa na Uhusiano wa Jamii), Lukuvi ni Mbunge wa Jimbo la Isimani, Iringa.

Rais Samia pia amemteua Mbunge Mstaafu Abdallah Bulembo kuwa Mshauri wa Rais (Siasa na Uhusiano wa Jami).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: