Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia awasili Arusha

Samia WA0012 Rais Samia awasili Arusha

Fri, 1 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro leo Septemba 01, 2023 na kupokelewa na Viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro leo Septemba 01, 2023 na kupokelewa na Viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye. Rais Dk.Samia amewasili jijini Arusha ambapo siku ya kesho atazindua Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU TOWER).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: