Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia ateua wenyeviti Bodi za Shirika la Reli naa VETA

Samia Uteuzi Uteuziiiiiiiii Rais Samia ateua wenyeviti Bodi za Shirika la Reli naa VETA

Thu, 17 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Sifuni Ernest Mchome kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA).

Amemteua pia Ally Amani Karavina kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania na uteuzi huu unaanza mara moja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: