Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia amteua Prof. Kitila kuwa Waziri wa Mipango na Uwekezaji

Profesa Kitila Mkumbo.jpeg Prof. Kitila

Thu, 6 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Miundo ya Wizara ambapo ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na amemteua Mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji.

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Miundo ya Wizara ambapo ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na amemteua Mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji. Mabadiliko haya madogo ya Miundo ya Wizara yamefanyika kufuatia kutungwa kwa Sheria ya Mipango ya Taifa ya Mwaka 2023 pamoja na uamuzi wa kuhamishia masuala ya uwekezaji Ofisi ya Rais.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: