Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia amteua Jaji Mshibe kuwa Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi TMA

Samia Mshibe Rais Samia amteua Jaji Mshibe kuwa Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi TMA

Thu, 14 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji Mshibe Ali Bakari kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), pia, amemteua Dkt. Emmanuel Jonathan Mpeta kuwa Makamu Mwenyekiti

Amemteua Theobald Maingu Sabi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mkonge Tanzania

Teuzi zote zimeanza Desemba 10, 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: