Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia amteua Camillus Wambura kuwa IGP mpya

Kamanda Wambura.jpeg Camillus Mongoso Wambura

Wed, 20 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Kamishna wa Polisi, Camillus Wambura na kumteua kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP).

Wambura alikuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatano Julai 20, 2022 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus imeeleza kuwa Rais amemteua aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi, Simon Sirro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: