Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia akiwaapisha viongozi wateule Ikulu Chamwino

Wakipotosha, Toeni Majibu Haraka Rais Samia Rais Samia akiwaapisha viongozi wateule Ikulu Chamwino

Tue, 23 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu akiwaapisha Viongozi Wateule wafuatao.

1. Mhe. Jaji Zainab Goronya Muruke, Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa

2. Mhe. Jaji Leila Edith Mgonya,kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa

3. Mhe.Jaji Amour Said Khamis, Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa

4. Mhe. Jaji Dkt. Benhaji Shaaban Masoud, Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa

5. Mhe. Jaji Gerson John Mdemu, Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa

6. Mhe.Jaji Agnes Zephania Mgeyekwa, kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa B. Mwenyekiti wa Baraza la Maadili.

7. Mhe. Jaji (MST) Rose Aggrey Teemba, Kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili. Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 23 Mei, 2023.

Rais Samia amesema ataendelea kuteua majaji wanawake katika mhimili wa Mahakama ili kuleta usawa wa kijinsia, huku akisisitiza kuwa anajivunia uwakilishi wa wanawake wenye vigezo katika mhimili huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: