Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Mwinyi awaapisha majaji Zanzibar

F Mwinyiiii Rais Mwinyi awaapisha majaji Zanzibar

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar aliowateua hivi karibuni.

Majaji hao walioapishwa ni Mhe. Khadija Shamte Mzee, Mhe. Salum Hassan Bakari na Mhe.Haji Suleiman Khamis.

Hafla hiyo ya kiapo ilifanyika leo katika Ikulu Zanzibar na ilihudhuliwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, Dini na Vyombo vya ulinzi na usalama.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: