Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Mwinyi afanya uteuzi Tume ya Uchaguzi

Rais Mwinyi Aitaka Afrika Kutekeleza Mikakati Ya Rasilimali Watu.jpeg Rais Mwinyi afanya uteuzi Tume ya Uchaguzi

Thu, 24 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameteua Viongozi wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-

1. Jaji George Joseph Kazi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti.

2. Jaji Aziza Iddi Suwedi ameteuliwa kuwa Mjumbe.

3. Idrisa Haji Jecha ameteuliwa kuwa Mjumbe.

4. Juma Haji Ussi ameteuliwa kuwa Mjumbe.

5. Halima Mohamed Said ameteuliwa kuwa Mjumbe.

6. Ayoub Bakar Hamad ameteuliwa kuwa Mjumbe.

7. Awadh Ali Said ameteuliwa kuwa Mjumbe.

Uteuzi huo unaanza leo tarehe 24 Agosti, 2023.

Mwenyekiti na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi wataapishwa Jumatatu tarehe 28 Agosti, 2023 saa 8:00 mchana Ikulu Zanzibar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: