Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

LIVE: Rais Samia alivyomuapisha IGP Wambura Ikulu Dodoma

Video Archive
Wed, 20 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule wafuatao:

1. Inspekta Jenerali CAMILLUS MWONGOSO WAMBURA, kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP)

2. Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (GP) SIMON NYAKORO SIRRO, kuwa Balozi Wa Tanzania Nchini Zimbabwe

3. Balozi Luteni Jenerali MATHEW EDWARD MKINGULE, kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zambia

4. Dkt. SULEIMAN HAJI SULEIMAN kuwa Balozi

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: