Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Breaking: Rais Samia amteua Matinyi kuwa msemaji mkuu wa Serikali

Malinyi Nyi Mobhare Matinyi.

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali. Kupitia taarifa iliyotolewa na Murugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus imeeleza kuwa kabla ya uteuzi huo Matinyi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: