Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Balozi Adadi mwenyekiti Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa

SAMIA MSKSA Balozi Adadi mwenyekiti Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa

Thu, 14 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Adadi Mohamed Rajab kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa binafsi.

Aidha Dkt. Samia amemteua Bi. Fatma Mohamed Ali kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: