Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Tennis

Federer aahidi ushindi, Djokocvic akipeta

Tue, 13 Nov 2018 Chanzo: mwananchi.co.tz

London, England. Nyota namba tatu kwa ubora duniani, Roger Federer, amesema kuwa amejiuliza n ahatafanya makossa tena katika mashindano yanayoendelea ya Nitto ATP Finals.

Mchezaji huyo aliyepoteza pambano dhidi ya Kei Nishikori wa Japan aliposhindwa kwa 7-6 (7-4) 6-3 na leo anajiandaa kucheza na Julien Benneteau wa Ufaransa.

Mchezaji huyo raia wa Uswisi ameonyesha yupo katika kiwango bora na kudhihirisha kuwa atakuwa na mwanzo mzuri katika mashindano ya Grand Slam yatakayoanza Januari mwakani.

Federer aliyeacha kufanya mazoezi Jumatatu kwa nia ya kutunza nguvu katika mechi yake alionyesha kuwa na nguvu na makini dhidi ya mpinzani wake.

Mchezaji huyo alionekana kuwa makini tofauti na mchezo wake wa kwanza katika michuano hiyo aliopoteza kwa 7-6 (7-4) 6-3 loss to Nishikori

Katika mchezo uliofuata mchezaji namba moja kwa ubora duniani, Novak Djokovic wa Serbia, alimshinda Mmarekani, John Isner kwa seti mbili za 6-4 6-3.

Isner, anayeshika nafasin ya kumi kwa ubora alionyesha ushindani wa hali ya juu katika mchezo huo lakini makossa machache aliyoyafanmya yalimgharimu.

Naye mchezaji Alexander Zverev alimshinda Marin Cilic kwa seti mbili za 6-2, 6-1 ikiwa ni michezo ya pili kwa kila mchezaji ambapo kuna makundi mawili yenye wachezaji wanne wanne.



Chanzo: mwananchi.co.tz