Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

lheanacho atua Sevilla

Iheanacho Kelechi lheanacho

Fri, 2 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa zamani wa Manchester City na Leicester City, Kelechi Iheanacho amejiunga na klabu ya Sevilla ya Uhispania kwa uhamisho huru.

Mshambuliaji wa zamani wa Manchester City na Leicester City, Kelechi Iheanacho amejiunga na klabu ya Sevilla ya Uhispania kwa uhamisho huru. Kelechi Iheanacho (27) raia wa Nigeria amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia klabu hiyo mpaka Juni 2026 na chaguo la kuongezeka mpaka 2027.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live