Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zorana aanza vizuri Misri

ZORAN MKO Zorana aanza vizuri Misri

Tue, 25 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Zoran Maki ameendelea kufaya vizuri katika Ligi Kuu ya Misri akiwa na klabu yake ya Al Ittihad baada ya leo kupata ushindi wake wa pili mfululizo.

Al Ittihad imeichapa El Daklyeh mabao 2-0, ushindi ambao unawapeka mpaka nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu ya Misri.

Zoran Maki akiwa na Al Ittihad:

• Mechi - 2 • Ushindi - 2 • Alama - 6 • Mabao ya kufunga matatu • Hakuna bao la kufungwa • Nafasi ya 2

Zoran yuko mbele ya Al Ahly kwenye msimamo wa ligi.

#KitengeSports

Chanzo: www.tanzaniaweb.live