Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zoran aongoza Ligi huko Misri

Simba New Coach Zoran aongoza Ligi huko Misri

Tue, 1 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa kocha wa Simba SC, Zoran Maki anaendelea kufanya vizuri kwenye ligi kuu Misri baada ya jana kuiongoza klabu yake ya Al Ittihad kutoka nyuma 1-0 na kushinda 3-1 dhidi ya El Geish.

Al Ittihad ipo kileleni mwa msimamo wa Ligi kuu Misri ikiwa imefikisha alama 9 baada mechi tatu.

Al Ittihad ipo mbele ya Zamalek na Al Ahly ambazo zina alama 6 kila mmoja lakini Ittihad ikiwa imecheza mchezo mmoja zaidi.

Ndiyo timu aliyofunga magoli mengi zaidi huku ikiruhusu bao moja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live