Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zlatan haishiwi vituko, ataka magoli yapewe jina lake

Zlatan Ibrahimovich Milan Zlatan Ibrahimovic

Sat, 3 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Zlatan Ibrahimovic haishiwi vituko na sasa amekuja na penedkezo jipya katika harakati za kuacha alama za soka lake.

Akiongea katika moja ya vyombo vya Habari nchini Italia amesema

"Siku Nikistaafu Magoli yanapaswa kupewa Jina langu, mfano Pele alifunga Zlatans 1000 kwa kipindi chake japo nusu yalikua offside, FIFA waanze kulifanyia kazi."

"Ni uzuri ulioaje mfano kusikia Messi kafunga Zlatan Zuri mno au mtu kafunga Hat-trick Zlatans"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live