Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zlatan ampiga kijembe Ronaldo

Zlatan X Ronaldo.png Zlatan ampiga kijembe Ronaldo

Wed, 10 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani na mshauri wa sasa wa klabu ya AC Milan, Zlatan Ibrahimovic ametoa kauli tata ambayo wengi wameitafsiri kama kijembe kwa Cristiano Ronaldo kuhusu kufunga magoli mengi kwenye Ligi ya Saudi Arabia

Mchezaji wa zamani na mshauri wa sasa wa klabu ya AC Milan, Zlatan Ibrahimovic ametoa kauli tata ambayo wengi wameitafsiri kama kijembe kwa Cristiano Ronaldo kuhusu kufunga magoli mengi kwenye Ligi ya Saudi Arabia “Kufunga Goli 10 kwenye ligi ya Saudi Pro-League ni sawa na kufunga Goli 1 kwenye Ligue 1 ya Ufaransa, na Kwa Spain hizo Goli 10 ni sawa sawa na kupiga Kona moja tu" amesema Ibrahimovic

Chanzo: www.tanzaniaweb.live