Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zlatan alivyomfanyia jeuri Pep Guadiola

Zlatan X Pep Zlatan alivyomfanyia jeuri Pep Guadiola

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: Dar24

Nyota wa zamani wa Inter Milan, Barcelona, Man United na AC Milan amedokeza namna ambavyo alikuwa hapendi kupangiwa mambo.

Akizungumza Zlatan anasema;

"Kwa mara ya kwanza nlipokutana na Pep Guardiola Barcelona aliniambia, Unatakiwa kufahamu hapa wachezaji hawapaswi kuja na ferraris!"

Niliwaza nkasema kwani nimefanya nini? Siku iliyofuata nkaja na Ferrari yangu.

Chanzo: Dar24