Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zlatan akubali kukatwa

Zlatan AC Milan Zlatan Ibrahimovic

Thu, 7 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji kutoka Sweden Zlatan Ibrahimovic (40) amekubali kukatwa makato ili kuepuka kustaafu na sasa amesaini mkataba mwingine wa mwaka mmoja na AC Milan.

Ibrahimovic bado anapambana na jeraha lakini amekubali dili hilo jipya ili aweze kuendelea kucheza mpaka atakapofikia angalau umri wa miaka 41.

Hivi karibuni nyota huyo alikaribia kulazimishwa kustaafu kutokana na jeraha la kwenye goti ambalo linahitaji miezi zaidi ya sita kupona.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live