Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ziyech awakataa Chelsea

Hakim Ziyech Galatasaray.jpeg Hakim Ziyech

Thu, 9 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

winga wa Chelsea Hakim Ziyech hatorejea tena Chelsea na atasalia Galatasaray kwa uhamisho wa kudumu pindi Mkataba wake wa Mkopo utakapokamilika.

winga wa Chelsea Hakim Ziyech hatorejea tena Chelsea na atasalia Galatasaray kwa uhamisho wa kudumu pindi Mkataba wake wa Mkopo utakapokamilika. Kipindi anajiunga na Galatasaray kwa mkataba wa mkopo kulikua na kipengele cha kumnunua moja kwa moja hivyo klabu hiyo ya uturuki imetumia iko kipengele,

Chanzo: www.tanzaniaweb.live