Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zidane kurudi mzigoni tena

Zinedine Zidane Zidane kurudi mzigoni tena

Thu, 29 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu, hatimaye Kocha Zinedine Zidane (51) yuko tayari kurudi kufundisha tena soka.

Baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu, hatimaye Kocha Zinedine Zidane (51) yuko tayari kurudi kufundisha tena soka. Zidane mwenye mataji matatu ya UEFA Champions League ametajwa kurudi kufundisha, huku Klabu ya Juventus ya nchini Italia ikitajwa kumchukua kocha huyo kwa msimu ujao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live