Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zidane kukabithiwa Timu ya Taifa ya Ufaransa

Zidane 1 Zidane kukabithiwa Timu ya Taifa ya Ufaransa

Wed, 23 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa zamani wa Real Madrid, Zinedine Zidane amekubali kuchukua mikoba ya kukinoa kukosi cha timu ya Taifa Ufaransa baada ya Kombe la Dunia.

Meneja wa zamani wa Real Madrid, Zinedine Zidane amekubali kuchukua mikoba ya kukinoa kukosi cha timu ya Taifa Ufaransa baada ya Kombe la Dunia. Mkataba wa Kocha wa sasa Didier Deschamps unamalizika na Ufaransa ipo tayari kumuondosha bila kujali matokeo ya kombe la Dunia 2022.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live