Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zidane atishia kibarua cha Tuchel Bayern

Zinedine Zidane Zinedine Zidane "Zizzou"

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bayern Munich wanaripotiwa kufikiria uwezekano wa kumchukua Zinedine Zidane au Ole Gunnar Solskjaer kurithi mikoba ya kocha Thomas Tuchel....hata hivyo inaelezwa Zinedine Zidane anabaki kuwa chaguo la kwanza la wababe hao wa Bundesliga.

Bayern Munich wanaripotiwa kufikiria uwezekano wa kumchukua Zinedine Zidane au Ole Gunnar Solskjaer kurithi mikoba ya kocha Thomas Tuchel....hata hivyo inaelezwa Zinedine Zidane anabaki kuwa chaguo la kwanza la wababe hao wa Bundesliga. Tuchel anapata shinikizo kubwa baada ya msururu wa matokeo mabaya ambayo yameiweka timu yake nyuma kwa pointi nane dhidi ya Bayer Leverkusen iliyojishindilia kileleni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live