Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zidane akataa mwaliko wa Ufaransa kutazama Fainali Qatar

Zidane Akataa Mwaliko Zidane akataa mwaliko wa Ufaransa kutazama Fainali Qatar

Sat, 17 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkongwe wa soka la Ufaransa, Zinadine Zidane amekataa mwaliko wa fainali nchini Qatar aliopewa na shirikisho la soka nchini Ufaransa kwa mujibu wa RMC Sport, ambapo Ufaransa watakipiga na Argentina hapo kesho.

Zidane ambae ni mchezaji wa zamani wa Ufaransa alialikwa kama mgeni maalum na Shrikisho la mpira la Ufaransa (FFF).

Mgomo huo wa Zidane unasemekana kusababishwa na Kocha wa Ufaransa Didier Deschamps kutomjumuisha mshambuliaji Karim Benzema ambae alipatwa na majeraha siku moja kabla ya kuanza kwa michuano hiyo ya Kombe la Dunia.

Ingawa pia kuna taarifa zainasema Zidane atachukua majukumu ya kukionoa kiosi cha Ufaransa ifikapo Januari 1, 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live