Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zidane aipiga chini Algeria

Zinedine Zidane Zinedine Zidane "Zizzou"

Sat, 27 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa zamani wa Real Madrid, Zinedine Zidane almaarufu ‘Zizou’ amepiga chini ofa ya kuwa kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Algeria.

Hii inakuja baada ya Chama cha soka Algeria (FA) kumwekea ofa nono ambayo ingemfanya kuwa kocha anayelipwa ghali zaidi Afrika.

Zidane ambaye ni mzaliwa wa Ufaransa kwenye asili ya Algeria alitakiwa kwa ajili ya kuchukua mikoba ya Djamel Belmadi aliyejiuzulu baada ya Algeria kusukumizwa nje ya AFCON 2023 kwenye hatua ya makundi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live