Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zidane: Nimemiss Maisha ya Ukocha

Zidane 1 Zinedine Zidane "Zizzou"

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Zinédine Zidane amekuwa nje ya uwanja tangu alipoondoka Madrid mwaka 2021 , Zidane amesema amemiss majukumu yake kama mwalimu ingawa hayakuwa maisha rahisi.

“Nipo bize na ratiba zangu zingine , ila nimemiss sana maisha kama kocha licha ya kuwa maisha ya huko ni magumu sana”

Kauli tata sana hii hasa kipindi hiki ambacho klabu nyingi hazina makocha na nyingine zipo kwenye mipango ya kuachana na makocha wao

Chanzo: www.tanzaniaweb.live