Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zanzibar kujenga Uwanja levo za Old Trafford, Rais athibitisha

Uwanja Wa Amaan ZNZ Zanzibar kujenga Uwanja levo za Old Trafford, Rais athibitisha

Thu, 28 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hussein Ali Mwinyi amesema ana mpango wa kujenga uwanja mkubwa kama wa Old Trafford kadri muda unavyozidi kwenda.

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hussein Ali Mwinyi amesema ana mpango wa kujenga uwanja mkubwa kama wa Old Trafford kadri muda unavyozidi kwenda. Mwinyi ameyasema hayo kwenye sherehe za uzinduzi wa uwanja wa Amaan ambao hivi karibuni umefanyiwa marekebisho makubwa kuelekea AFCON 2027 ambapo Tanzania, Kenya na Uganda zitakuwa wenyeji wa michuano hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live