Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zanzibar Mabingwa CECAFA U15

Zanzibar U15.jpeg Zanzibar Mabingwa CECAFA U15

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Vijana Zanzibar chini ya Miaka 15 ( Karume Boys) imefanikiwa kushinda Michuano ya CECAFA U-15 iliyofanyika nchini Uganda kwa kuwafunga wenyeji wa mashindano timu ya Taifa Uganda kwa mikwaju ya penati 4-3.

Timu ya Taifa ya Vijana Zanzibar chini ya Miaka 15 ( Karume Boys) imefanikiwa kushinda Michuano ya CECAFA U-15 iliyofanyika nchini Uganda kwa kuwafunga wenyeji wa mashindano timu ya Taifa Uganda kwa mikwaju ya penati 4-3. Katika michuano hiyo pia Tanzania wao wameshika nafasi ya tatu baada ya kushinda 1-0 dhidi ya Sudani Kusini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live