Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zanzibar Heroes walivyopokelewa leo Zanzibar

343 Screenshot 20171218 181853 660x400 TZW

Mon, 18 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes imewasili visiwani Zanzibar leo Jumatatu ya December 18 2017 ikitokea Kenya ilipokuwa inashiriki michuano ya Kombe la CECAFA Senior Challenge Cup 2017, Zanzibar imewasili ikiwa ni siku moja imepita toka ipoteze mchezo wa fainali ya michuano hiyo kwa penati 3-2.

Timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes imewasili visiwani Zanzibar leo Jumatatu ya December 18 2017 ikitokea Kenya ilipokuwa inashiriki michuano ya Kombe la CECAFA Senior Challenge Cup 2017, Zanzibar imewasili ikiwa ni siku moja imepita toka ipoteze mchezo wa fainali ya michuano hiyo kwa penati 3-2. Mstaafu Kikwete na Zitto Kabwe baada ya Zanzibar kuingia fainali

Chanzo: millardayo.com