Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zambia yachezea kichapo cha Niger

Chama Zambia Ms.jpeg Zambia yachezea kichapo cha Niger

Wed, 22 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Zambia, Chipolopolo imekubali kichapo cha bao 2-1 kutoka kwa timu ya Taifa ya Niger jana kwenye mchezo wa Kundi C kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026.

Zambia iko kundi moja na timu za taifa za Tanzania, Niger, Congo Brazaville na Morocco.

FT: Niger 2-1 Zambia ⚽ Amadou Moutari 6' ⚽ Boubacar 28' ⚽ Pitson Daka 50'

Matokeo ya mechi nyingine za FIFA World Cup Qualifiers

Rwanda 2-0 South Africa Niger 2-1 Zambia Tanzania 0-2 Morocco Libya 1-1 Cameroon Comoros 1-0 Ghana Togo 0-0 Senegal Sao Tome and Principe 0-2 Namibia Mauritius 0-0 Angola Ethiopia 0-3 Burkina Faso Eswatini 0-2 Cape Verde Botswana 1-0 Guinea

MSIMAMO KUNDI E 1. Morocco — 3 pts 2. Niger — 3 pts 3. Tanzania — 3 pts 4. Zambia — 3 pts 5. Congo — 0 pts.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live