Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zamaleki yajipanga kwa Michuano ya Klabu Bingwa Afrika

Butek John Okoye Ebuka

Sat, 21 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Zamalek inataka kumsajili mshambuliaji John Okoye Ebuka (26) raia wa Nigeria kutoka klabu ya Ceramica Cleopatra kwa ajili ya kampeni zake za michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Klabu ya Zamalek inataka kumsajili mshambuliaji John Okoye Ebuka (26) raia wa Nigeria kutoka klabu ya Ceramica Cleopatra kwa ajili ya kampeni zake za michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Klabu ya Ceramica Cleopatra inataka kiasi cha dola milioni 1.3 kwa ajili ya nyota huyo aliyefunga mabao 26 kwa kipindi cha misimu mitatu iliyopita kwenye Ligi kuu Misri lakini Zamalek ipo tayari kutoa Dola Laki 8.5.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live