Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zamalek ya Misri yatangaza Kocha Mpya

Juan Carlos Juan Carlos Osorio

Sat, 15 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Zamalek SC ya nchini Misri, imemteua Mkufunzi kutoka Colombia,Juan Carlos Osorio Kuwa Kocha Mkuu Mpya wa Klabu hiyo akichukua nafasi ya Jesualdo Ferreira (75) aliyefukuzwa Mwezi uliopita.

Klabu ya Zamalek SC ya nchini Misri, imemteua Mkufunzi kutoka Colombia,Juan Carlos Osorio Kuwa Kocha Mkuu Mpya wa Klabu hiyo akichukua nafasi ya Jesualdo Ferreira (75) aliyefukuzwa Mwezi uliopita. Juan Carlos Osorio ameshawahi kupita katika Klabu ya Man City kama Kocha msaidizi mwaka 2001/2005.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live