Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zamalek watwaa ubingwa wa Misri

ZAMALEK Bingwaa.jpeg Zamalek watwaa ubingwa wa Misri

Tue, 23 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Zamalek imetwaa ubingwa wa Ligi kuu Misri baada ya wapinzani wao waliokuwa wakiwafuata kwa karibu Pyramids kupoteza mchezo wao ugenini dhidi ya Future FC.

Kwa kipigo hicho Pyramids alama 68 haiwezi kufikia alama 75 za Zamalek huku ikiwa imebakisha mechi mbili.

Zamalek imetwaa ubingwa wao wa pili mfululizo na wa 14 kihistoria ikiwa imebakisha mechi tatu pazia la Ligi kuu Nchini humo kufungwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live