Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zamalek waendelea mgomo Misri

Zamalek NAn.jpeg Zamalek waendelea mgomo Misri

Sun, 30 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya kupigwa faini na kupokwa points baada ya kugoma kucheza mchezo wa ligi kuu dhidi ya klabu ya Al-Ahly, Zamalek wameendeleza mgomo wao.

Klabu hiyo imesema haitacheza mechi yoyote ya ligi kuu hadi klabu ya Al-Ahly itakapomaliza viporo vyake.

Mpaka sasa Al-Ahly wamecheza mechi (19) kati ya mechi (34) wanazotakiwa kucheza kwenye Egypt premier league.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live