Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zakazakazi atoa neno kipigo dhidi ya Yanga, amtaja mwamuzi

Zakazakazi Hj.jpeg Mkuu wa Kitengo cha Habari Azam FC, Thabit Zakaria "Zakazakazi"

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa Yanga juzi Jumatatu katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Azam FC, Thabit Zakari "Zakazakazi" kwa mara ya kwanza amezungumza baada ya kipigo hicho.

Akizungumza Zakazakazi anasema;

" Nikweli wachezaji waliahidiwa bonus (Japo hakuitaja kiasi gani), Pia Nimpongeze mwamuzi, (Ahmed Arajiga) alichezesha vizuri, Ni nadra kuona Azam tunapata penati dhidi ya hizi timu za Kariakoo. Mara ya mwisho Azam kupata penati dhidi ya Yanga ilikua 2012"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: