Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zakazakazi: Sifurahii migogoro ila nawacheka Simba (+Video)

Zakazakazi Hj.jpeg Zakazakazi: Sifurahii migogoro ila nawacheka Simba

Thu, 13 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Azam Fc Thabit Zakaria @zakazakazi amesema hafurahishwi na migogoro lakini kwenye mpira ni kuchekana tu hakuna lingine.

Zakazakazi anasisitiza kwenye migogoro ya timu zingatia rangi tu.

View this post on Instagram

A post shared by ???????? ???????? (@pmtvtz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live