Sat, 21 Oct 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Alichokisema Zaka Za Kazi, kwamba marefa wanapo maliza mpira na wao wapatiwe muda wahojiwe maswali na waandishi wa habari wapewe picha za marejeo kisha watuambie hapo walikuwa wanazitafsiri vipi sheria za mpira.
Mpira unapomalizika waandishi wa habari wanawafuata viongozi wa Club ikiwemo maafisa habari muda ambao wanahasira na kuwauliza maswali jambo ambalo linaweza kupelekea maofisa habari kusema maneno ya hasira na mabaya.
Marefa na wao wawe wanahojiwa baada ya mpira na waandishi wa habari kutoa tasmini ya mchezo walivyo uongoza dakika 90.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live