Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zahera atimuliwa Coastal Union, apewa kazi maalum

Mwinyi Zahera Atimuliwa Aliekuwa Kocha wa Coastal Union, Mwinyi Zahera

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa Klabu ya Coastal Union umemtema Kocha wake Mwinyi Zahera aliekuwa Kocha Mkuu wa kikosi hicho.

Uamuzi huo umekuja baada ya matokeo mabovu kwa Coastal tangu kuanza kwa msimu 2023/24.

Kwa sasa Timu ya Coastal iko chini ya Kocha msaidizi Fikirini Elias ambae ameiongoza kupata ushindi wake wa kwanza msimu huu mbele ya Mashujaa Oktoba 26.

Mwinyi Zahera amepangiwa majukumu mengine na Klabu imeweka wazi kusaka mirthi wa nafasi yake.

Soma kwa urefu Taarifa ya Klabu ya Coastal Union;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: