Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zahera afunguka Yanga walivyoshindwa kumsajili Ley Matampi

Diarra Matampi WA0001 Matampi na Diarra

Sun, 5 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Namungo, Papaa Mwinyi Zahera anafichua kuwa wakati akiwa kocha wa Yanga aliwahi kumpendekeza Matampi Ley asajiliwe lakini kutokana na hali ya kiuchumi wa wakati huo dili hilo likashindikana.

“Wakati nikiwa Yanga tulipokuwa tunapiga hesabu za kusajili kipa mzuri wa maana jina la kwanza lilikuwa ni Matampi, lakini kutokana na hali ya fedha wakati huo viongozi wakashindwa kumalizana naye.”

Hivyo wakamuomba asubiri kwanza wakusanye fedha lakini baada ya muda akapata ofa kubwa ya kwenda Saudi Arabia kwa klabu ya Al-Ansar iliyomuwekea fedha nyingi baada ya kumkosa ndio tukaenda kumchukua yule kipa wa Kenya Farouk Shikhalo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live